Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. James Kinuyasi Millya( Mb) akiwa katika banda la Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) kwenye Maonesho ya Nanenane, 2026
NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE. DAVID SILINDE (Mb) KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BALOZI WA ALGERIA NCHINI TANZANIA MHE. GHALIB ZERMANE
WAZIRI WA KILIMO MHE. DANIEL CHONGOLO (Mb), AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA WIZARA NA WAKURUGENZI WA TAASISI ZA WIZARA YA KILIMO.
Matokeo ya zao la maharage yaliyotumia mbolea ya kupandia DAP na mbolea ya kukuzia UREA yanaonesha mafanikio makubwa katika ukuaji wa mimea, ongezeko la mavuno, na ubora wa mazao.
Matokeo ya tumbaku iliyotumia NPK 10:18:24 yanaonesha ukuaji bora, majani yenye afya, na ongezeko la uzalishaji; matumizi sahihi yameboresha ubora na tija.
Mbolea zikiwa zimehifadhiwa katika ghala la TFC Makambako, Njombe, tayari kwa kusambazwa kwa wakulima ili kuhakikisha upatikanaji wa pembejeo kwa wakati na kuongeza tija ya kilimo.
MELI ILIYOBEBA MBOLEA YA KUPANDIA MAZAO AINA YA DI AMMONIA PHOSPHATE IKIWA BANDARI YA DAR ES SALAAM IKIPAKUA MBOLEA