MAONESHO YA NANENANE 2026
Imewekwa: 18 July, 2026
Karibu kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane 2026, ujifunze teknolojia mbalimbali za kisasa za uzalishaji na uchangamkie fursa za maendeleo katika Sekta za Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

