MAONESHO YA NANENANE 2026
Imewekwa: 18 July, 2026
Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) tunakukaribisha kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane 2026, ujifunze teknolojia mbalimbali za kisasa za uzalishaji na uchangamkie fursa za maendeleo katika Sekta za Kilimo, Mifugo na Uvuvi katika kanda zote.

