Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

Sera ya Faragha

Kampuni ya Mbolea Tanzania inachukulia faragha ya wateja wake na wanaotembelea tovuti yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotembelea tovuti yetu au kuwasiliana na wafanyakazi wetu. Taarifa binafsi inayokusanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania itatumiwa na Taasisi yetu tu.