Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Ili uweze kuwa Wakala wa Mbolea unatakiwa utume maombi ya kuomba uwakala kupitia email yetu info@fertilizer.co.tz
Makao Makuu ya TFC ni Dar es Salaam barabara ya Chole Osterbay pia tuna ofisi katika kanda za juu Arusha, Kilimanjaro, Manyara