Accessibility Settings

Text Size

Color Contrast

Language

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

/ News

Watumishi Wanawake wa TFC Washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani - 2026

Imewekwa: 18 March, 2026
Watumishi Wanawake wa TFC Washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani - 2026

Watumishi Wanawake wa Tanzania Fertilizer Company (TFC) wakishiriki katika Maadhimisho ya International Women's Day yaliyofanyika Mburahati, Dar es Salaam, yakilenga Kuhamasisha Usawa wa Kijinsia na Kutambua Mchango wa Wanawake katika Maendeleo ya Jamii.