Accessibility Settings

Text Size

Color Contrast

Language

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

/ News

TFC yathibitisha dhamira yake kwa ajenda ya Mkutano wa Wabunge Wanawake FP-ICGRL (WPC) ya Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uchumi.

Imewekwa: 15 May, 2026
TFC yathibitisha dhamira yake kwa ajenda ya Mkutano wa Wabunge Wanawake FP-ICGRL (WPC) ya Maendeleo Endelevu ya Kilimo na Uchumi.

Mkurugenzi Mkuu wa TFC, Bw. Samuel Mshote, amesisitiza umuhimu wa mbolea bora katika kuongeza tija ya uzalishaji wa kilimo na kuboresha maisha ya wananchi. Ameeleza kuwa TFC itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo katika kuhamasisha kilimo endelevu na chenye kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi.

slot gacor