UZINDUZI WA TOVUTI YA NANENANE 2025
Imewekwa: 18 June, 2025
Tovuti ya Maonesho ya Kilimo ya NaneNane 2025 imeanza usajili tarehe 17 Juni 2025 na usajili utafungwa tarehe 15 Julai 2025.

