Accessibility Settings

Text Size

Color Contrast

Language

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

/ News

TFC YAONGEZA MAVUNO YA MAZAO NJOMBE

Imewekwa: 23 November, 2026
TFC YAONGEZA MAVUNO YA MAZAO NJOMBE

Upatikanaji wa mbolea za ruzuku katika wilaya zote tano za Mkoa wa Njombe unatarajiwa kuwasaidia wakulima kupunguza gharama za uzalishaji na kuboresha ustawi wa mazao, huku Taasisi ya TFC ikiimarisha ushirikiano na mawakala ili kurahisisha upatikanaji wa huduma hiyo.

Kampuni ya Mbolea Tanzania imehakikisha mbolea za ruzuku zinapatikana kwa wakati kupitia mtandao wa mawakala waliopo katika maeneo mbalimbali.

Mkulima Mwaitambila amewahimiza wakulima kutumia mbolea ili kuongeza mavuno kwa kutoa ushuhuda wake kuwa tangu aanze kutumia mbolea za TFC ameongeza mavuno kutoka kuvuna magunia 40 hadi kufikia kuvuna magunia 80-100 kwa shamba la ekari moja ya vitunguu.
 

slot gacor