Mbolea za TFC kwa Mazao Bora na Tija
Imewekwa: 03 February, 2026
Mkulima Bw. Amosi Songoro, wa Kijiji cha Ulumi, Wilaya ya Kalambo, ametumia mbolea za TFC: Di Ammonia Phosphate na UREA N 46%, kupata mazao yenye tija. Wakulima wanahimizwa kujisajili katika mfumo wa pembejeo za ruzuku ili kunufaika na Mbolea za Serikali.

