Accessibility Settings

Text Size

Color Contrast

Language

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

/ News

Matumizi sahihi ya chokaa na mbolea yaimarisha uzalishaji kwa wakulima wa mradi wa TFSRP

Imewekwa: 25 March, 2026
Matumizi sahihi ya chokaa na mbolea yaimarisha uzalishaji kwa wakulima wa mradi wa TFSRP

Ufuatiliaji wa mashamba ya wanufaika wa TFSRP unaonesha kuwa utumiaji sahihi wa chokaa na mbolea za kupandia na kukuzia umeboresha rutuba ya udongo, kuimarisha ukuaji wa mazao na kuongeza mavuno kwa wakulima.