Accessibility Settings

Text Size

Color Contrast

Language

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

/ News

Matokeo ya Mashamba ya wanufaika wa mradi wa Tanzania Food Systems Resilience Programme (TFSRP), waliotumia chokaa mazao na mbolea za kupandia na kukuzia

Imewekwa: 25 March, 2026
Matokeo ya Mashamba ya wanufaika wa mradi wa Tanzania Food Systems Resilience Programme (TFSRP), waliotumia chokaa mazao na mbolea za kupandia na kukuzia

Ufuatiliaji wa mashamba ya wanufaika wa TFSRP unaonesha kuwa matumizi ya chokaa na mbolea za kupandia na kukuzia mazao yamechangia kuboresha rutuba ya udongo, kuimarisha ukuaji wa mazao na kuongeza mavuno kwa wakulima.