Accessibility Settings

Text Size

Color Contrast

Language

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

/ News

Mkurugenzi Mkuu, Bw. Samuel Mshote aainisha nafasi ya TFC katika Mkutano wa Wabunge Wanawake (WPC) wa Jukwaa la Maziwa Makuu (FP-ICGRL) katika Maendeleo ya Kilimo.

Imewekwa: 15 May, 2026
Mkurugenzi Mkuu, Bw. Samuel Mshote aainisha nafasi ya TFC katika Mkutano wa Wabunge Wanawake (WPC) wa Jukwaa la Maziwa Makuu (FP-ICGRL) katika Maendeleo ya Kilimo.

Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) imeendelea kuonesha dhamira yake katika kuimarisha sekta ya kilimo kupitia ushiriki wake katika maandalizi ya Mkutano wa Wabunge Wanawake wa Jukwaa la Maziwa Makuu (FP-ICGRL) utakaofanyika Novemba 2026 jijini Dar es Salaam. Kupitia ushiriki huo, TFC inalenga kuendeleza ajenda za usalama wa chakula, uwezeshaji wa wanawake na vijana pamoja na kukuza ushirikiano wa kikanda.Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) imeendelea kuonesha dhamira yake katika kuimarisha sekta ya kilimo kupitia ushiriki wake katika maandalizi ya Mkutano wa Wabunge Wanawake wa Jukwaa la Maziwa Makuu (FP-ICGRL) utakaofanyika Novemba 2026 jijini Dar es Salaam. Kupitia ushiriki huo, TFC inalenga kuendeleza ajenda za usalama wa chakula, uwezeshaji wa wanawake na vijana pamoja na kukuza ushirikiano wa kikanda.

slot gacor