Accessibility Settings

Text Size

Color Contrast

Language

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

/ News

KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI KUJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

Imewekwa: 31 August, 2026
KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI KUJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

Katika kikao Maalum cha Bodi ya Wakurugenzi Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) kwaajili ya kupitia Rasimu ya Mahesabu kwa Mwaka wa fedha 2026/2027, wajumbe wa kamati hiyo wameitaka Menejiment kufanya kazi kama timu ili kuleta matokeo chanya katika kuwahudumia wakulima.

Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika leo, tarehe Agosti 29, 2026, katika ghala la Pamba, lililopo Kurasini, Jijini Dar es salaam, Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Florens Turuka ameeleza kuwa ushrikiano wa Menejimenti katika kutekeleza malengo ya taasisi utawezesha mafanikio na ustawi wa Kampuni.

Pamoja na hayo wameitaka Menejiment kutekeleza miradi kwa viwango/ubora na kukamilisha miradi hiyo  kwa wakati ili itoe huduma iliyokusudiwa.

slot gacor