Accessibility Settings

Text Size

Color Contrast

Language

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

MAPOKEZI YA MBOLEA YA DAP MKOA WA KILIMANJARO

MAPOKEZI YA MBOLEA YA DAP MKOA WA KILIMANJARO
01 September, 2026 - 30 December, 2026 DAR ES SALAAM barua@fertilizer.co.tz

Kuelekea msimu wa kilimo 2026/2027, mbolea ya kupandia mazao aina ya Di Ammonia Phosphate imewasili katika ghala la Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC), lililopo Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro  tayari kuanza kusambazwa kwa wakulima kwa bei ya ruzuku.

slot gacor