TFC IKITOA UHAMASISHAJI WA MATUMIZI BORA YA PEMBEJEO KATIKA KATA YA BUKENE WILAYA YA NZEGA
Imewekwa: 13 December, 2025
Uhamasishaji wa Matumizi Bora ya Pembejeo ukiendelea katika Kata ya Bukene Wilayani Nzega, ambapo Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC), iliweza kuwaelimisha Wakulima juu ya Matumizi Bora ya Mbolea kwa kufuata hatua stahiki kuanzia mbolea ya Kupandia, Kukuzi ana Kubebeshea.

