Shehena Mpya ya Mbolea ya UREA
Imewekwa: 24 February, 2024
Meli ya MV Huayung Spirit kutoka Falme za Kiarabu imetia nanga leo katika bandari ya Dar es Salaam kwaajili ya kushusha Mbolea mpya ya UREA

