Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Kampuni ya Mbolea Tanzania

Bi. Rehema J. Ngalla

Rehema J. Ngalla photo
Bi. Rehema J. Ngalla
MJUMBE WA BODI

Barua pepe: info@fertilizer.co.tz

Simu: +225123456789

Wasifu

Rehema Juma Ngalla alizaliwa tarehe 13 Julai 1963, alipata Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Elimu ya Kilimo na Ugani mwaka 2012 na mwaka 2007 Shahada ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA).